Diamond Plutnumz
Tumeshazoea kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii imeangukia kwa mkali wa Tanzania.Video ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165 huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina views 354,910.
0 comments:
Post a Comment