Baada ya kuhusishwa kwenye drama ya Chris Brown na Karrueche Tran weekend iliyopita, sasa inadaiwa kuwa rapper wa Canada, Drake amelazwa hospitali baada ya kujihusisha kwenye ugomvi na P.Diddy.
Kwa mujibu wa TMZ, Diddy alimfunza adabu Drake nje ya club ya Miami Jumatatu asubuhi ambapo wote walikuwa wamehudhuria birthday ya Dj Khalid.
0 comments:
Post a Comment