Hii ndio orodha ya nchi maskini duniani. Umaskini umetapakaa katika mataifa haya. Ufukara hupimwa kwa Pato la Taifa la Mwaka (GDP), kiwango cha elimu na ajira, ndivyo viwango vinavyochukuliwa kujua umaskini wa nchi husika.
Baadhi ya mataifa duniani yana kipato na elimu duni ukilinganisha na mengine. Kwa sasa Tanzania ipo nafasi ya 47 ambapo miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ikishika nafasi ya tatu kwa umaskini.
Baadhi ya mataifa duniani yana kipato na elimu duni ukilinganisha na mengine. Kwa sasa Tanzania ipo nafasi ya 47 ambapo miaka kadhaa iliyopita ilikuwa ikishika nafasi ya tatu kwa umaskini.
0 comments:
Post a Comment