Waswahili
walisema ajali haina kinga ila hii tunaweza kusema imesababishwa na
uzembeee... ni pale dereva wa gari hili alipokuwa mwendo wa kasi huku
akijaribu kumkwepa dereva wa bodaboda na kujikupa amevamia uzio wa ofisi
za SUMATRA zilizoko barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kujikuta amepenya
ndani kupitia uzio.
Vijana wakijaribu kumkwamua aweze kutoka.
![]() |
0 comments:
Post a Comment