2014-12-08

Hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram nchini Nigeria yazidi kuwa hatarini

watoto walio tekwa nigeria
Wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram katika picha iliyotolewa na kundi hilo
RFI-Cambodgian by chheang
y


Katika makala haya hii leo , tunaangazia hatima ya wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram, baada ya serikali ya Nigeria kutupilia mbali ombi la kiongozi wa kundi hilo kutaka kuachiwa huru kwa wafungwa wake.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...