2014-12-09

Korti yatupilia mbali kesi ya 'fungate


 

Mahakama nchini Afrika Kusini imetupilia mbali kesi dhidi ya Shrien Dewani 
 
 mfanyabiashara mwingereza anayetuhumiwa kuwakodi mamluki waliomuua mkewe Anni Dewani wakati wa fungate yao mjini Cape Town. BBCSwahili

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...