Waandishi wa Gazeti za Mwananchi Mac Namara Ng'ambi na Bi Ester Mwimbura kufunga pingu za maisha katika kanisa la Anglikana lililopo pande za kihonda Mkoani Morogoro
Waandishi wa habari wakiongozwa na Ramadhani Libenanga'Kutty Fella'mwenye shati la Mistari kulisakata Twisti.
Mwandishi wa habari Gazeti la Nipashe Ashtoni Balaingwa na mkewe ndio waliobeba jukumu la kuwasimamia maharusi hao kwenye ndoa yao.
Baada ya kufunga ndoa hiyo mpango mzima ulihamia ndani ya Ukumbi wa Mambo klabu ambapo kulifanyika sherehe ya kufa mtu kwa Mstahiki Meya wa Mji wa Morogoro Amir Juma Nondo kuwaongoza wageni waarikwa wengi wao wakiwa waandishi wa habari na familia zao pamoja na wadau wa tasnia ya habari mkoa wa Morogoro kura,kunywa na kucheza muziki katika sherehe hiyo iliyofanya.
0 comments:
Post a Comment