Tanzania ni nchi iliyopo afrika mashariki yenye utajiri mkubwa rasilimari. Pamoja na utajiri huo imekuwa ikikumbwa na changamoto nyingi za kiuchumi kwa wananchi wake. Japokuwa wananchi wamekuwa wakikumbwa na changamoto ya kiuchumi huwezi amini linapokuja suala la warembo watakaokufanya ujisikie crazy kama huna control katika ukanda wa afrika mashariki na afrika.
Wafuatao ni wanawake warembo 10 wanaowakilisha kundi kuubwa la wadada na warembo wazuri.
Gyver Meena
Belina Mgeni
Nely Kamwelu
Jacquiline "Cliff" Patrick
Nancy Sumari
Jokate Mwegelo
Flaviana Matata
Happiness Milen Maggese
Faraja Kota Nyalandu
Richa Adhia
Ida Ljungvist
Emelda Mwamanga
Vanessa Mdee
Lisa Jensen
Salha Israel
Salma Jabu
0 comments:
Post a Comment