2014-12-22

Ni sheeeeedaaaaa!!!!!!!!!! Ommy Dimpoz ajipa Prado mpya kama zawadi ya Christmas




Ommy Dimpoz amepata zawadi ya Christmas mapema. Ni Toyota Prado mpya aliyojinunulia mwenyewe. 


 
“Christmas present for myself. Thanks Allaah for everything tukutane January Inshaallaah…for big surprise,” ameandika Ommy kwenye Instagram. 


0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...