Jana Bunju B iliingia katika News Kila Kona Kwa matukio Mawili kutokea Ambayo yalivuta mkusanyiko wa watu na minongono kila kona , Baada ya lile tukio la Gari aina ya Land Cruiser VX kuchomwa Moto na Wananchi baada ya kusababisha ajali na Kuuwa watu watatu walio kuwa kwenye Boda Boda , Jioni yake Palitokea tukio la Ajabu ambapo Watu wawili Mwanaume na Mwanamke walio kuwa wakifanya mapenzi gesti Kunatana na Kushindwa kuachana mpaka walipoanza kupiga Kelele na Muhudumu na watu wengine kulazimika kuvunja Mlango wa Gesti na kuita Polisi Ambao walikuja kuwachukua na Kuwapeleka Kituo cha Polisi cha Bunju Usalama Huku Wakiwa Wamenasana Bado, Inasemekana Mwanamke ni Mke wa Mtu Hivyo Mpaka Ile Saa moja Usiku Shuhuda wetu Alipoondoka Sehemu ya Tukio inasemekana Polisi walikuwa Wanamsubiri mwenye mke ili Awanasue huku ikisemekana Mwanaume mwenye mke anadai milion Sitini ili awanasue…Taarifa zaidi Baadae
2014-12-14
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment