2014-12-16

SAD NEWS: ONA PICHA BASI LA MOHAMED TRANS LAPATA AJALI NA KUUWA WATU SABA, IGUNGA-TABORA


Wananchi wakiwa eneo la tukio kutoa msaada kwa waliojeruhiwa katika ajali hiyo.

Baadhi ya maiti zikiwazimelazwa chini.

Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.

Watu saba wamefariki Igunga, mkoani Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka.
Basi hilo limepinduka leo majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...