2014-12-08

SERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA‏


               vijana watakiwa kujitolea
Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo.
 aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini,. 
 

Alvaro Rodriguez akiongea na na Vijana  kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyokuwa yakiserikali wanaofanyaka kazi za kujitolea kwenye jamii wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Siku ya Kujitolea duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Desemba duniani kote ambapo kwa Tanzania kitaifa maadhimisho haya yamefanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. … 




0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...