Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena (kushoto), akizungumza katika mkutano huo kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya
Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga.
Mkazi wa Kijiji cha Chiwachiwa kilichopo Tarafa Mgeta Kata ya Mbingu Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Merkizedek Mazani (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu mgogoro wa ardhi dhidi mwekezaji wa Kampuni ya Usafirishaji ya Union ambaye anadaiwa kuchukuwa ardhi yao ambapo
kesho wanakusudia kufungua kesi Mahakama ya Ardhi dhidi yake kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Kulia ni mkazi wa kijiji hicho, Jimmy Mwasenga na Mwangalizi wa LHRC, Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena.
Mkazi wa Kijiji cha Chiwachiwa, Comrade Mlonganile (kulia), akizungumza katika mkutano huo wakati akichangia jambo. Kushoto ni Zabron Mpwage mmoja wa wanakijiji hicho.
Mkazi wa Kijiji hicho, Jimmy Mwasenga (kulia), akichangia jambo.
Wawakilishi wa kijiji hicho wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Zabron Mpwage, Comrade Mlonganile, Raina Ngapya, Mwangalizi wa Haki za Binadamu LHRC Wilaya ya Kilombero, Godfrey Lwena, Merkizedek Mazani na Jimmy Mwasenga.

0 comments:
Post a Comment