2015-01-26

PICHAZ: Show aliyo ifanya Ali Kiba kwenye tiGo Kiboko yao Concert


Usiku wa kuamkia leo wengi walikuwa wakisubiri hasa kujua na kuiona show iliyo andaliwa na kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mkononi tiGo kupitia kampeni yao ya tiGo Kiboko Yao Concert ambapo wakali kibao akiwemo Weusi, Yamoto band, Ali Kiba nawengine walisababisha concert hiyo iende poa. 



















0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...