2015-01-16

MAMBO MAZURI; SHIRIKA LA MISAADA LA MAREKANI USAID LAKABIDHI PIKIPIKI 10 BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly Hamblin wakisaini makabidhiano ya pikipiki 10 kwa ajili ya ufuatiliaji uwepo wa dawa katika vituoni vya afya Wilaya. Hafla hiyo imefanyaka Bohari Kuu la Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar. 
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly wakibadilishana hati ya makabidhiano. 
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akikabidhiwa funguo ya pikipiki na Bi. Kelly Hamblin (kusho) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid. Baadhi ya Pikipiki zilizo

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...