2015-01-19

Ni sheeeeeeeeeeda!!!!!!!!!!!!!!! Uwoya auliza kuwa Kitu Gani Mnapenda Kwenye Mwili Wanguuu?

254f536aecbb11e2bd0222000a9e514f_7
 
Mrembo na mwigizaji Irene Uwoya, hivi juzi kati aliwauliza swali followers wake kwenye mtandao wa INSTAGRAM, kuwa kitu gani wanapenda kwenye mwili wake, mara baada ya kuweka picha yake hiyo hapo juu. 
Swali ambalo liliibua COMMENTS nyingi na LIKES za kutosha huku kila mtu akisema lake na wengine wakisema hili swali ni tata kidogo na wengine wakisema huu ni uchokozi....





Sasa na mimi ni kaona sio mbaya ni share na wewe swali hili kwa kulileta hapa, nikiamini hapa kuana wadu na wapenzi wengi wa mwanadada huyu ili nao wafunguke;
 
Uwoya aliuliza;


Kitu gani mnapenda kwenye mwili wanguuu ?????

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...