2015-01-26

Ni shiiiiiiiiiiida!!!!!!!!!!!! AMBER ROSE AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA NICK


                                        Amber Rose
Baada ya maneno kuwa mengi sana mtaani kuhusu Amber Rose na Nick Cannon kuwa wanashea one roof baada ya kuonekana wakiwa pamoja na kupiga picha na kushea katika mitandao ya kijamii.

Siku ya jumamosi Amber Rose alishea picha akiwa na meneja wake mpya Nick Cannon wakisimama mbele ya magari yao mapya ya aina ya ‘Ferrari sports’ baada ya hapo model Amber Rose akaandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Instagram na kusema:

‘I know the world wants us to be together sooo badly (Sarcasm) but it’s just not our relationship. Every time I post a pic of me and this Man yall start reaching….. We are friends and business partners nothing more,’ she wrote. 


She continued that it would be her last time saying it before writing, ‘WE ARE JUST FRIENDS!!!!’ 

Amber Rose ameachana na mpenzi wake Wiz Khalifa ila wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ‘Sebastian’, na Nick Cannon nae aliachana na mwanamuziki Mariah Carey mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...