Babu Tale na Diamond Platnumz
Ule Ugonjwa wa kuvuja kwa single za wasanii ambazo muda wake haujafika time hii imemkuta Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz, wimbo huo uliopewa jina la Nasema Nawe umesambaa wiki hii kwenye baadhi ya mitandao ikiwemo blogs pamoja na mitandao ya kijamii.
Akiongea na tovuti ya millardayo.com, Babu Tale amesema binafsi ameshangaa baaada ya kusikia kuwa Diamond ametoa wimbo mpya aliourekodi kwa producer Tuddy Thomas.
‘Ni Kweli wimbo umevuja ila sio official yenu sisi hatuwezi kuchukua uamuzi wowote ila tutaufanyia mastering na tuta u realese kama official na wala hatuwezi kumlaumu producer Tuddy Thomas’– alisema Babu Tale
Huu ndio wimbo uliovuja wa Diamond Platnumz uitwao Nasema Nawe
0 comments:
Post a Comment