2015-02-10

Chuchu afunguka uhusiano kati ya Ray na Johari, aliyoyasema ni mshtuko




Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi, ’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula ’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani. 


Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).‘’Ninachojua mimi Ray hajawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Johari watu wamekuwa wakisema kwa kuwa walikuwa karibu sana kwa sababu walikuwa wakifanya kazi pamoja,’alisema Chuchu.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...