WATU kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni hii.
Coster lilikuwa likijaribu ku-overtake lori ndipo lilipogongwa na basi hilo.
watu 17 wapoteza maisha papo hapo
Wananchi wakitoa msaada kwa baadhi ya abiria waliokuwa wamenasa katika Coaster lililogongwa na basi.
0 comments:
Post a Comment