Skip to content

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.
Nyota wa filamu kitambo, Lungi Maulanga.
“Unaambiwa Lungi baada ya kuambiwa hivyo alikasirika na kumpigia simu Amanda wakaanza kutukanana kiasi cha kufikia hatua ya kutaka kuchapana,” kilisema chanzo chetu.
Msanii wa filamu Bongo,Tamrina Poshi ‘Amanda’. Baada ya habari hii kutua mezani, mwandishi wetu alizungumza na wote wawili ambapo Lungi alikiri kutofautiana na mwenzake kwa alichosikia, wakati Amanda alikanusha kuwa na ugomvi na mwenzake na kwamba hajaongea naye kwa simu kwa muda mrefu kwani hata namba yake hana.
GPL
0 comments:
Post a Comment