2015-02-04

Kweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifaari la Mwanamuziki JUX

Jux ni jina jingine bongoflevani kwa nyimbo nzuri kama ‘uzuri wako‘ na nyingine zikiwemo kolabo kama ya Young Dee ‘sio mchoyo’

Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake, pia Nay wa Mitego pia anaejenga gorofa wakati Idris Sultan mshindi wa BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita.

Baada ya Jux kupost picha ya nyumba yake Jux alionyesha furaha yake akitamani kuhamia baada ya kutimiza ndoto zake. 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...