2015-02-05

MAMBO NDO HAYAAAAAAAAAAAUKISHIKWA, SHIKAMANA


Juu na chini ni picha siku ya Jumatano Februari 4, 2015 siku 10 kabla ya Valentine penzi motomoto kutoka kwa Mr. Matope kwa kipenzi mke wake Miss T baada ya kumzawadi gari aina ya Range Rover Sports na kusherehekea miaka 13 ya ndoa yao wakiwa wazazi wa watoto wao wawili.


0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...