2015-02-27

MWANAMITINDO WA KIMATAIFA TAUSI LIKOKOLA ATEMBELEA GLOBAL TV

Mwanamitindo wa kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola akijiweka sawa kufanya mahojiano kupitia Global TV Online leo. 


...Akifafanua jambo wakati wa mahojiano. 


Tausi Likokola akijibu maswali ya wanahabari wa Global Publishers (hawapo pichani). 


Akiwa katika pozi baada mahojiano. 


Musa Mateja (kulia) akiwa katika pozi na Tausi. 


Tausi Likokola akiwa na Martha Mboma (kulia). 


...Akiwa na Aloyce Jacob (kushoto). 


Global TV Crew, OJ (kushoto) akiwa katika pozi na Tausi. 


Omary Mdose (kushoto) akiwa katika pozi na Tausi.
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...