2015-02-05

Picha: Nay Wamitego aonesha udharirishaji kwa mwanamke akiwa nusu uchi..............bofya hapa kuona picha hizo



Picha hii imepostiwa kupitia Acc ya msanii wa Nay Wamitego akiwa yupo kitandani na mwanadada ambae amevalia bikini huku sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa wazi / unaonekana. 


Hali ya mwanadada huyo ameonekana akitabasamu bila kuwa na wasi wasi kitendo ambacho kinafanya tuamini kwamba labda wana shoot video, lakini sidhani kama ni sawa pia kwa maadili yetu ya Kitanzania. Pengine si vibaya lakini mazoea hayo kwetu Watanzania ni mageni. 


Picha hii imeonekana kuchukiza mabinti wengi na kuenea kwa story tofauti kwa muda mfupi tangu aipost.
Alichoandika Nay Wamitego ni "Ooooh shiiiit!!!!"

1 comment:

  1. Bust it open baby!!!! Show what yo momma gave yu..

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...