2015-03-16

Daaaaaaaaaasa Maajabu: Kutana na Mtoto Mwenye Umri wa Miaka Mitatu Mwenye Kuzungumza Kingereza na Kukokotoa Hesabu za Sekondari


Huyu mtoto ana miaka 3 anaitwa Nice, kwao ni Kiteto kijijini huko Manyara. Lakini cha ajabu ana uwezo wa kufanya hesabu za 
yyyyyyyyyyyyyyy
Sekondari na nyingine ngumu kwa uwezo wa kutisha na kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi. Ukimuongelesha kiswahi li anakwambia 'Please speak english'. 
Cha kushangaza zaidi ni kwamba tangu azaliwe hajawahi kwenda shule au kuhudhuria darasa la aina yoyote.

Na kama ujuavyo mazingira ya kijiji watu huzungumza lugha ya eneo husika lakini yeye ameweza kuongea kingereza bila kujua wapi amejifunza. na unaambiwa wakati mwingine huwafundisha wanafunzi wa form 1.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...