2015-03-16

Hii komesha:MTU MMOJA AUAWA KWA KUCHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA KUMPASUA KICHWA MTOTO ENEO LA NSALAGA MBEYA.

 


Mtu moja ambae hajajulikana bado jina lake ameteketezwa kwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kumpasua kichwa mtoto wa dada yake na kufariki dunia papo hapo kwa kutumia sururu kichwani ambae alikua akiishi naye maeneo 

Nsalaga Uyole sababu hazijajulikana bado Mwili wa mtu huyo ukichochewa na kuni za mabanzi ili kuuteketeza kabisa Taarifa kamili tutaitoa baada ya polisi kufanya uchunguzi wa tukio hii maana ndio wamefika eneo la tukio .Picha za mtoto hazifai

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...