2015-03-26

Kamatakamata wanawake wanaojiuza maeneo ya Sinza


Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria Changudoa...
 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...