2015-03-26

Mali za Kapteni Komba Kupigwa Mnada


Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba zimetangazwa kupigwa mnada kutokana na kushindwa kulipa deni analodaiwa na Benki ya CRDB. Mali hizo zinahusisha eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 2,214 lililopo Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, kiwanja namba 1030 kilichosajiliwa.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...