2015-03-25

KHADJA NITO AFUNGUKIA MAPENZI ............SOMA HAPA


MREMBO anayesumbua katika Bongo Fleva na singo yake ya Maumivu, Khadija Maige ‘Khadja Nito’


MREMBO anayesumbua katika Bongo Fleva na singo yake ya Maumivu, Khadija Maige ‘Khadja Nito’, juzikati alianika kuwa kama kuna kitu kinamvutia, basi ni kufanya mapenzi kila siku maana ndiyo starehe pekee anayoifurahia. 

Akizungumza na gazeti hili ofisini Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam, alisema hicho ndicho kitu kinachompa raha zaidi.

“Nasema hivyo, ila nieleweke kwamba huwa napenda kufanya hivyo nikiwa na bwana wangu kwa kuwa ndiyo starehe na burudani ninayoipenda, ninapokuwa faragha huwa sijivungi maana mimi na mpenzi wangu tukiwa kitandani tunapagawishana kiasi cha kuwa kama wehu,” alisema Khadja.





GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...