Sad Neeeeeeeeeeewzzzzzzz:MKE WA NOORAH AFARIKI DUNIA 13:39 Unknown H/KITAIFA No comments Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao. Mke wa msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master. Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga. Mungu ampumzishe kwa amani. GPL Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment