Hizi tatu, Zari The Boss lady ndani ya nyumba mpya ya Diamond Platnumz.
Zari the boss lady ameshare picha ya chumba cha kulala kwenye jumba la kifahari la Diamond Platnumz lililopewa jina ‘[State House]. Zari aliweka picha ya Gypsum ambayo imetengenezwa peke kwaajili ya Diamond Platnumz huku ujumbe ukisema
[Gotta love ny current view]
0 comments:
Post a Comment