2015-01-02

KUME KUCHA;LIGI KEE ENGLAND CHELSEA WACHAPWA NA TOTTENHAM 5



Diego Costa gave Premier League leaders Chelsea a lead after striking into an unguarded net at Tottenham on New Year's Day 
 


Oscar slid a clever ball back to the Spain international to tap home in front of a stunned White Hart Lane

Costa celebrates with Oscar, Nemanja Matic and Eden Hazard after giving the visitors the lead in the 18th minute

The impressive Harry Kane brilliantly fired in an equaliser from outside the box later in the first half

Kane danced off to celebrate in front of the Spurs supporters after scoring again for Mauricio Pochettino's men

Left back Danny Rose came from nowhere to add a second for Tottenham on the stroke of half-time

Andros Townsend then scored a third from the penalty spot after Harry Kane was brought down by Gary Cahill in the area







Kane added his second and Tottenham's fourth with a smart finish across Thibaut Courtois and into his net

Hazard smashed a goal back for Chelsea after a clever one-two with Cesc Fabregas, who picked up another assist

But Nacer Chadli added a fifth, which made the three New Year points safe for Tottenham

John Terry pounced in the 87th to claw a third back for Chelsea but they were already a beaten side

Kane wheeled away in celebration as Tottenham stunned Chelsea after the visitors had taken a lead

John Terry couldn't get anywhere near Rose's effort as defensive partner Cahill despairingly dove to retrieve the situation

Townsend leaps in the air to celebrate the third on an evening to shock the Blues in north London




Terry, Nemanja Matic and Fabregas find themselves in a pickle while in possession

Brazilian Willian slides in to dispossesses Chadli in the early throws of the London derby

Jose Mourinho berated referee Phil Dowd over the amount of time it was taking Hugo Lloris to take goal kicks

Ryan Mason gives the signal to the Tottenham bench after picking up a knock in the 14th minute, with Moussa Dembele replacing him

Harry Kane hunts down Chelsea's Cahill as the central defender knocks the ball back towards his goalkeeper

Cahill was given the runaround by Kane all afternoon and appeared to stamp on the striker late in the piece

The defender can be seen going through the man in a bid to get the ball

Cahill also seemed to stamp on Kane's ankle as the striker lay on the ground

Rose fails to get off the ground as Costa quickly moves the Chelsea attack on in the first half

Nemanja Matic attempts to steel a march on Kane, who wriggled clear of his marker in midfield

Chadli barges Oscar away in midfield as Spanish midfielder Fabregas watches on

Jose Mourinho (right) shares a moment with Tottenham striker Roberto Soldado prior to kick-off at White Hart Lane

Courtois looks on dejected after conceding the fourth during what proved to be a lively encounter

SHILOLE ACHANA MAKAVU KWA WALE WANAOPONDA PETE YAKE


STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewavaa baadhi ya watu wanaoponda kitendo cha yeye kukubali kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siku nyingi, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa maelezo kuwa ni kama maigizo kwani ndoa hakuna. 
 


Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akionyesha pete aliyovishwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.

Akipiga stori na paparazi wetu, Shilole alisema anawashangaa wanaodhani ataishia kuitwa mchumba tu bila kuiona ndoa, akasema anachojua ndoa itafungwa siku si nyingi kwani wanapenda kwa dhati 


“Kama ilishindikana kwao ni kwao tu, sisi ni watu wazima tunaojielewa na mpaka hapa tulipofikia hakuna kitakachoharibika. Tunapendana hivyo panapo uzima Mungu akijaalia ndoa itafungwa,” alisema Shilole.



 GPL

Sijawahi kutoa wala kupokea Rushwa na bado nina dhamira ya dhati ya kumsaidia Rais Jakaya Kikwete" --Hii ni Kauli ya Waziri Mkuu Pinda

 
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bado ana dhamira ya dhati ya kumsaidia rais Jakaya Kikwete katika uongozi wa taifa la Tanzania
 na kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi, ili waweze kujiletea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Waziri Mkuu aliyasema h

Ni shiiiiiiiiiiiida!!!!!!!!!!! Mke wa Mtu akisanua nyonga za ukweli Akimfuta Jasho Bi. Harusi

Mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mishi Choggo ametoa kali ya mwaka baada ya kusaula kisha kutumia gauni lake kumfutia jasho bi. harusi.


Bi’mkubwa huyo alifanya kioja hicho Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Rose Garden maeneo ya Mafinga mkoani Morogoro katika harusi ya Rose Raphael na Edward Sebastian ambao walikuwa wakibariki ndoa.


Wakati sherehe ikiwa imepamba moto na waalikwa mbalimbali wakianza kutoa zawadi, mama huyo alimfuata DJ na kuomba awekewe wimbo wa taarabu, akaanza kucheza kwa madaha huku akienda kutunza.


 
Mama huyo alipomkaribia bibi harusi, alisaula gauni lake refu na kulitumia kumfuta jasho bi. harusi baada ya kukosa hanjifu.
 


Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya watu wanaojiheshimu kuinamisha vichwa chini kwa aibu huku wale micharuko wenzake wakishangilia.

DIAMOND AONYWA KUHUSU UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA NA ASHA BARAKA


Mkurungezi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kutojaribu kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya na kusema akijaribu atapotea.

Akizungumza na Ijumaa hivi karubini, Asha Baraka ‘Iron Lady’ alisema Diamond anaweza kufanya vizuri kwa miaka mingi inayokuja lakini akijaribu kutumia dawa hizo ataishia pabaya.


“Tumeona wasanii wengi wa Tanzania ambao awali walikuwa wanafanya vizuri lakini baada ya kujaa sifa na kukutana na marafiki wengi pamoja na makundi wakazama kwenye dawa za kulevya na sasa wanatapatapa na kubaki kulaumu wakati wenyewe wamejiharibia,” alisema Iron Lady.


Wasani ambao awali walikuwa wakifanya vizuri kimuziki lakini baadaye ‘wakadrop’ baada ya kujiingiza kwenye matumizi ya unga ni pamoja na Chid Benzi, Ray C, Q Chiller, Lord Eyez, Msafiri Diof na wengine ambao sasa wameshafariki.
 

GPL

Ni balaa:mume wa aunt hajui kama Aunt Ezekiel ana mimba

Msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amefunguka kuwa, licha ya ujauzito wake kuwa mkubwa, mume wake Sunday Demonte hana taarifa yoyote juu ya kitumbo hicho.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunt alisema maneno hayo yanaweza kuwashangaza watu lakini ndiyo ukweli wenyewe. 


Alidai kuwa yeye na mume wake huyo hawajaachana na hajapewa talaka kama watu wanavyodai lakini hajui kwamba ni mama mtarajiwa na hata akijua hawezi kumuacha. 


“Kiukweli mume wangu hajui kuwa nina ujauzito na hata akijua wala hawezi kuniacha, ananipenda sana. Sijaachana naye na wala sijapewa talaka, hayo yanayosemwa ni umbeya tu,” alidai Aunt.

Atoa uvivu; Jokate Ampa Makavu Diamond.......Asema hana Akili Timamu Friday, January 02, 2015


Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali
 aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, e…

LUlu afunguka; Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu"...Ujumbe Mzito wa Lulu Michael kwa Mama Yake


“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..! 


Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati nilipitia mambo yaliyozidi kukuumiza zaidi Ya uchungu wa kunizaa ila ktk yote ulisimama na ulizibeba Aibu zangu bila kujali jamii,familia au watu binafsi wange kuchukuliaje,Naamini wewe pekeyako ndio mtu pekee ninayeweza kusimama kwa kujiamini na Kusema ni WANGU Pekeyangu. 


Una mapenzi Ya kweli,naamini Hata kama kuna wazuri wenye akili,wenye maumbo,muonekano au wenye kitu chochote kilicho bora Zaidi yangu bdo kwenye macho na Moyo wako utaniona Mimi ni bora zaidi Ya yoyote Duniani.

Nakuombea Afya,Uzima,Furaha,Mafanikio na kutimizwa kwa haja zote za moyo wako.Ninakujua kama mama bora,mwanamke jasiri,mwenye msimamo,busara,hekima,mcheshi na rafiki....NENO NAKUPENDA tu halitoshi 



HAPPY BIRTHDAY THE QUEEN OF MY HEART
HAPPY BIRTHDAY MAMA
Risala itaendelea nyumbani kwa Dada wa Rwechungura mana ntakesha hapa". Lulu alimaliza.

AMERUDI TENA;BUSH KUIONGOZA MAREKANI KAMA RAIS KWA MARA NYINGINE!


Gavana wa zamani wa Jimbo la Florida nchini Marekani Jeb Bush ametangaza kujiuzulu mnafasi mbalimbali ambazo anashika kwenye makampuni kadhaa pamoja na nyadhifa anazoshika kwenye bodi za taasisi mbalimbali zisizo za kibiashara ikiwa ni ishara ya dhamira ya gavana huyo wa zamani ya kuingia moja kwa moja kwenye mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2016 . 

Kwa mujibu wa msaidizi wa karibu wa mwanasiasa huyo , Jeb ambaye ni mdogo wa rais wa zamani wa Marekani George Walker Bush ataangalia uhusiano alio nao kwneye biashara tofauti katika kipindi cha mwaka mwaka huu akiwa na lengo la kujiondoa kwenye biashara na kuingia kikamilifu kwneye siasa akiwania nafasi ya kukiwakilisha chama cha Republican kwenye uchaguzi wa mwakani
Jeb Bush alitangaza mwishoni mwa mwaka 2014 kuwa anafuatilia kwa karibu mchakato wa urais japo hajaweka wazi azma yake ya kuingia kwenye mbio hizo .



Jeb Bush anatarajiwa kutangaza azma ya kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2016.Msemaji wa Bush Kristy Campbell ameithibitisha hatua hii akisema kuwa ilikuwa kiasi cha muda kwa haya kutokea kwani ni ukweli usiofichika kuwa Jeb amekuwa na kiu ya kuingia ikulu na hatua yake ya kujiondoa taratibu kwneye biashara imetazamwa kama hatua ya mwwanzo ya kusafisha njia ya kutimiza azma yake. 

Msemaji wa Jeb pia amethibitisha kuwa Jeb ataendelea kubaki kwenye bodi za makampuni ambayo yeye ni mshirika ikiwemo kampuni yake ya usharui wa masuala ya biashara ya Jeb Bush anad Associates .
Tayari Bush alishajiuzulu kwenye bodi ya wakurugenzi kwenye kampuni za Rayonier Inc , Tenet Healthcare Corporation na benki ya Uingereza ya Barclays .

Rais wa zamani wa Marekani Mzee George Herbert Walker Bush (kushoto) na rais mwingine wa zamani wa Marekani George Walker Bush (katikati) na Jeb Bush (kulia) katika picha ya pamoja .


Endapo Bush ataingia kwenye mbio za kuwania urais na kufanikiwa kuingia ikulu atakuwa mtu wa tatu kwneye ukoo wa Bush baada ya Baba yake Mzazi George Herbet Walker Bush Sr na kaka yake mkubwa George Walker Bush ambaye alikuwa rais wa Marekani katika miaka ya 2000 mpaka 2008 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...