TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
1. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (PERSONAL SECRETARY III) NAFASI (5), NGAZI YA MSHAHARA TGS B,
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya Uhazili kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kufaulu mtihani hatua ya tatu
iii. Awe amehitimu mafunzo ya kompyuta
kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za Windows,
Microsoft office, Internet, E-mail na Publisher
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na
nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha mbili za
rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
2. MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORD MANAGEMENT ASSISTANT II) NAFASI (5) MOJA, NGAZI YA MSHAHARA TGS C
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya
Utunzaji kumbukumbu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali katika
ngazi stashahada (Diploma) katika fani ya masjala
iii. Awe amehitimu mafunzo ya
kompyuta kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na kupata program za
Windows, Microsoft office n.k
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
3. AFISA KIJIJI WA MTAA DARAJA LA III (MITAA EXECUTIVE OFFICER II) NAFASI (15), NGAZI YA MSHAHARA TGS C.
SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu mafunzo ya
Stashahada (diploma) katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, sheria,
Elimu ya jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi ya
jamii kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo kinachotambuliwa
na Serikali
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
4. AFISA MAENDELEO YA JAMII MSAIDIZI DARAJA LA II NAFASI (5) NGAZI YA MSHAHARA TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe na stashahada ya maendeleo
ya jamii kutoka vyuo vya maendeleo ya jamii.(buhare au rungemba au vyuo
vingine vinavyotambuliwa na serikali.)
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
========
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
5. MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II NAFASI (1)
NGAZI YA MSHAHARA TGS B
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mafunzo ya
wasaidizi wa maktaba (National Liabrary assistant certicate course)
yatolewayo na bodi ya huduma za maktaba Tanzania au cheti kinacholingana
na hicho.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
6. FUNDI SANIFU UJENZI DARAJA LA II NAFASI (3)
NGAZI YA MSHAHARA TGS C
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mafuZU katika stashahada ya kawaida katika fani za ufundi wa ujenzikatika chuo kinachotambuliwa na serikali.
6 MCHAPA HATI II (ARDHI) NAFASI (2)
NGAZI ZA MWOMBAJI
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amefaulu mtihani wa uhazili
hatua ya II kutoka chuo cha utumishi wa umma na ujuzi wa kompyuta hatua
ya I na II kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=======
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
8. MKAGUZI WA MJI WA MSAIDIZI DARAJA II NAFASI (1) NGAZI YA MSHAHARA TGPSW1
SIFA ZA MWOMBAJI:
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Mwenye stashahada (Diploma)
kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Katika mojawapo ya ya
fani za sharia uchumi, biashara utawala na information technology ambao
wamehudhuria na kufunzu mafunzo kutoka chuo kinachotambuliwa na
serikali.
9. FUNDI MSANIFU WA MAJI DARAJA LA II
TGS C NAFASI (3) NGAZI YA MSHAHARA TGS C.
SIGA ZA MWOMBAJI.
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu chuo cha ufundi kinachotambuliwa na serikali ana cheti cha ufundi (F.T.C)
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
=========
HALMASHAURI YA MJI WA BABATI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawatangazia wananchi wote wenye sifa, nafasi za kazi kama ifuatavyo:-
10. FUNDI SANIFU II (ARDHI) NAFASI (3)
i. Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita
ii. Awe amehitimu shahada ya
kawaida katika fani ya upimaji wa Ramani, usimamizi wa ardhi na uthamini
kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA;
i. Mwombaji awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwenye Halmashauri ya wilaya ya Babati
ii. Barua za mwombaji
ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa
na picha mbili za rangi (passport size)
iii. Barua za mwombaji ziambatanishwe na maelezo binafsi ya mwombaji (CV)
iv. Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wav yeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
v. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 25/11/2014 saa9:30 Alasiri
vi. waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiozidi miaka 45.
Maombi wote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Babati
S.L.P 383,
BABATI
Omary M. Mkomole
MKURUGENZI WA MAJI BABATI
CHANZO; GAZETI LA MWANANCHI 7 NOVEMBA 2014.
0 comments:
Post a Comment