Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa
akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rushwa
mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji wa chini
iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA).Mwenyekiti wa Chama cha Majaji wanawake Tanzania Jaji Engera Kileo akizungumza katika semina hiyo.Shekh
Husen Kuzungu akifafanua jambo wakati akichangia mada kwenye semina ya
kutafuta namna ya kutokomeza Rushwa ya Ngono iliyoandaliwa na Chama cha
Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika Dodoma.Mahakimu,
Wabunge, na wakuu wa vyombo vya Dora wakifuatilia jambo wakati mkuu wa
mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifungua Semina kuhusu namna ya kukabiliana
na tatizo la Rushwa ya Ngono linaloendelea kushamili kati ya wenye vyeo
na wasio na vyeo, iliyoandaliwa na Chama cha Majaji Wanawake Tanzania
(TAWJA)Wajumbe
waliohudhuria warsha ya kutafuta namna ya kukomesha Rushwa ya ngono
maofisini kati ya mabosi na watendaji wa chini ikiwemo vyuoni na mashuleni
iliyoandaliwa na chama cha majaji wanawake Tanzania (TAWJA) iliyofanyika
DodomaMajaji,
mahakimu, viongozi wa Dini na viongozi wa vyombo vya Dora waliohudhuria
semina hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu mpya wa mkoa wa
Dodoma Chiku Galawa.
2014-11-21
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment