Imetokea
nchini India baada ya mama mmoja kujifungua mtoto mwenye miguu minne na
mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa na kuitwa
‘Mungu Mvulana’.
Mtoto
huyo amepewa jina la ‘Mungu Mvulana‘ kwa kuwa kuzaliwa na viungo kama
hivyo si jambo la kawaida na huchukuliwa kama mfano wa Mungu .
kwa jamii
za kihindu na watu walisafiri kutoka ko
na mbalimbali za nchi hiyo kwenda
kumshuhudia mtoto huyo wa maajabu.
Katika mji wa Kaskazini mwa nchi hiyo
watu walijazana nje ya eneo la Hospitali
hiyo wakiwa na hamu ya
kutaka
kumwona mtoto ambaye ana maana kubwa kwa jamii za nchini humo na
wenyeji wa huko wana amini ataleta baraka katika jamii zao.
Mamia ya
watu walikua wamejaza nje ya Hospitali hiyo wakiimba na kusali lakini
hawakuweza kufanikiwa kumwona kutokana na wingi wao huku Polisi
wakitumia nguvu ya ziada kuwazuia.
0 comments:
Post a Comment