Baby
Joseph Madaha ‘Baby Madaha’akiwa katika bethidei yake.
Hafla
hiyo iliyohudhuriwa na watu wachache wakiwemo baadhi ya wasanii,
ilifanyika katika Grosari moja iliyopo Kijitonyama.Miongoni mwa mastaa
waliohudhuria alikuwa ni mcheza soka wa zamani wa timu ya Yanga ya
jijini Dar, Samson Mwamanda.
SHEREHE
ya siku ya kuzaliwa ya msanii wa muziki na filamu, Baby Joseph Madaha
‘Baby Madaha’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kijitonyama
jijini Dar es Salaam, ilitawaliwa na vitendo vichafu mwanzo mwisho.
Sherehe
hiyo iliyoanza mishale ya saa 6.00 usiku ilitawaliwa na vituko kibao
vilivyowaacha midomo wazi baadhi ya wahudhuriaji.Moja ya vituko hivyo ni
pale Baby Madaha aliyekuwa amekolea kwa kilevi alipoamua kupigana denda
laivu na msanii Isabela Mpanda ambaye naye alikuwa kachangamka ile
mbaya
.
Isabela alikuwa
kituko zaidi kufuatia kuvaa kinguo kifupi cha pinki kilichoacha sehemu
kubwa ya mwili wake, hasa kuanzia mapajani kuwa wazi.
Msanii huyo pamoja
na kujitupa huku na huko kilevi na kucheza muziki kwa kukata nyonga
kinoma, alikuwa akiinua nguo yake juu na kuonesha kufuli lake ‘white’ na
kujishika sehemu za nyuma jambo lililomfanya mmoja wa wahudhuriaji
kusema
0 comments:
Post a Comment