2014-12-19

Asema;Shein SMZ itaendelea kusambaza umeme


         
 
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali                                   
Mohamed Shein amezindua mradi wa umeme katika kijiji cha Dongongwe Mkoa wa Kusini Unguja 
 
na kusema serikali ina wajibu wa kupeleka kwa wananchi huduma bora za kijamii, kiuchumi na maendeleo.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...