2015-02-23

Sad Neeeeeeeeeeeewzzzzzzzzzz: KESI YA CHID BENZ YAAHIRISHWA

Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi ya mwanamuziki Chid Benz dhidi ya dawa za kulevya mpaka Februari 26. Mwanamuziki huyo alikamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakati akijitayarisha kupanda ndege kwenda Mbeya kwenye tamasha la muziki.
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...