2014-12-22

Duu; Wawili wauawa kwa kipigo Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa

Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa
WATU wawili wameuawa kwa kipigo wilayani Tarime mkoani Mara,
 
 akiwemo mwanamke, aitwaye Suzan Bhoke (34), raia wa Kenya aliyekuwa akiishi kimapenzi na Eddy Clement, mkazi wa Kitongoji cha Forodhani katika mji mdogo wa Sirari. habarileo

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...