Mambo ndio hayo; Simu feki za mamilioni zateketezwa Mwanza 10:34 Unknown UDAKU No comments TUME ya Ushindani imefanya operesheni na kukamata bidhaa za bandia, zikiwemo simu za mkononi 327 aina ya Samsung. na nyembe aina ya Gillete, zote zikiwa na thamani ya zaidi ya Sh milioni 200 kisha kuviteketeza jijini hapa. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment