2014-12-19

INA HUZUNISHA:MAMA AGEUKA MNYAMA, ATAFUNA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAE!



Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 30 amekula sehemu za siri za mtoto wake wa kiume mwenye umri kati ya miaka mitatu mpaka mitano huko nchini Cameroon.
                             
Mtoto huyo ambaye jina lake Njankep Alexandre ambaye alipelekwa katikahospital moja ya huko Cameroon ambapo madaktari walimpeleka katika chumba za wagonjwa mahututi ili kumpatia matibabu zaidi baada ya mtoto huyo kuvuja damu nyingi sana.



Wakati polisi wakiendelea kumhoji mama huyo hajatoa ushahidi kamili na anashikiliwa na jeshi la polisi la nchini Cameroon!
                               

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...