2015-01-07

Prince Ali Bin makamu wa rais wa FIFA kujitosa uchaguzi wa urais FIFA

Makamu wa rais wa shirikisho la soka duniani, FIFA, Prince Ali Bin Al Hussein atachuana na rais wa sasa Sepp Blatter kuwania nafasi hiyo.

Prince, 39, raia wa Jordan, atasimama kama mgombea kwenye uchaguzi wa rais wa fifa utakaofanyika 29 May. Blatter, 78, atakuwa anawania kwa mara ya tano.

BBC Sports

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...