Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
uliofanyia Jumapili iliyopita. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa habari wa chama hicho, Abdul Kambaya. Picha na Rafael Lubava
Na Kelvin Matandiko na Raymond Kaminyoge, Mwananchi
Posted Jumatano,Decemba17 2014 saa 9:17 AM
Kwa ufupi
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumwajibisha Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa kuvuruga uchaguzi huo.
0 comments:
Post a Comment