Aliyekuwa mkuu wa upelelezi Wilaya ya Ukonga SSP Idd Kiyomo akiwa na mke wake wakiinga ndani ya ukumbi wa Stakishari Polisi kwa ajili ya kuagwa rasmi.
Mkuu huyo ambaye kwa sasa anahamia mkoani Tabora kwenda kutimiza majukumu aliyokuwa akiyatekeleza Ukonga akiteta jambo na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa ... Mh Tambalizeni
ASP Idd akimlisha mkewe keki iliyoandaliwa na askari pamoja na maafisi wa Wilaya hiyo ya Ukonga
Mama mchungaji Grace akiomba kwa lengo la kutoa baraka kwa ajili ya sherehe hiyo kuanza rasmi
Mkuu wa kituo cha Stakishari OCS ASP Grace Salia akitambulisha wageni walioalikwa katika sherehe hiyo kama anavyoonekana pichani.
OCD Ukonga akikabidhiwa kipaza sauti na Mc aliyekuwa akisherehesha mambo.
Mkuu wa polisi Wilaya ya Ukonga SP, Jilio Simba naye akitoa maelezo machache kwa wageni kabla ya sherehe hiyo kuanza.
Ilifika zamu ya mke ASP Idd kumlisha keki mumewe kama inavyoonekana.
Baada ya kufika ukumbini, maofisa na wapiganaji wakicheza muziki kwa furaha kama inavyoonekana mwenye koti jeusi ni SSP Idd ambaye shuguhuli hiyo ilikuwa inamuhusu.
Huyo ni sajenti Simoni ambaye ni kachero anayedaiwa kuwa ni mtaalam wa kufungua Shampen akifanya makeke mbele ya kadamnasi kama anavyoonekana ili shughuli ya vinywaji iweze kuendelea
Hiyo ni keki maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya ofisa huyo kama inavyoonekana imepambwa kwa maandishi maalumu.
Waliosimama kwenda kulia ni askari wa GD, CPL Fransika kushoto ni DC, Aneth askari kachero wakisubiri kukabidhiwa zawadi zao baada ya kufanya tukio la kihistoria mwaka jana, inadaiwa kuwa askari hao kwa pamoja walimuokoa bubu baada ya kukabwa na watu wasiojulika kwa kuongea naye kibubu na kuelewa hitaji lake hivyo kuokoa maisha yao
SHEREHE maalum ilifanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Ukonga kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2015 sambamba na kumuaga aliyekuwa kachero mkuu wa wilaya ya Kipolisi ya Ukonga ASP Idd Kyomo ambaye sasa anaenda Tabora.
Wilaya ya Ukonga inasifika kwa kuzalisha viongozi wa jeshi la polisi walio bora na hivi sasa wilaya hiyo inaongozwa na kamanda SP Jilio Simba ambapo aliandaa sherehe hiyo ya kukumbukwa.

0 comments:
Post a Comment