Aliyekuwa kamanda wa waasi nchini Msumbiji amesema yuko tayari kuondoka kichakani kwa mazungumzo na serikali baada ya uhasama wao kuchangia ghasia mbaya mwaka huu.
Kiongozi wa waasi Msumbiji tayari kutoka msituni
Aliyekuwa kamanda wa waasi nchini Msumbiji amesema yuko tayari kuondoka kichakani kwa mazungumzo na serikali baada ya uhasama wao kuchangia ghasia mbaya mwaka huu.

0 comments:
Post a Comment