DIAMOND AKIFANYA YAKE
Mashabiki wa kike wa Mombasa wakimsonga Diamond kwenye show yake mjini humo weekend iliyopita
Kunyanyaswa
kwa wasanii wa Kenya, kumemfanya Diamond na waandaji wa show yake ya
Mombasa weekend iliyopita kutupiwa lawama na wapenzi wa muziki nchini
humo.
Mtandao wa,
umeandika kuwa kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na watu kibao, Diamond
alitaka wasanii wengine wote waliokuwa watumbuize kwenye show hiyo na
waliokuwa wamepangiwa kukaa naye kwenye VIP lounge, wakiwemo Susumila na
Nyota Ndogo waondelewe
0 comments:
Post a Comment