2014-12-14

MISS WORLD 2014: LIVE FROM LONDON (JUMAPILI, DESEMBA 14, 2014)


Watanzania tukiamua yetu tunamua kweli kweli dah hii ni komesha let's keep voting tuwe no 1 jamani we can do it. Let's go my good people. 
 
By @happinesswatimanywa 

 
Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika�� #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu

 

TIME, DATE AND TV CHANNEL FOR MISS WORLD 2014 LIVE FROM LONDON 

THE MISS WORLD 2014 PAGEANT ITAONESHWA LIVE KWENYE TV MBALI MBALI DUNIANI KOTE  KUANGALIA NI TV CHANNEL ITAONESHWA LIVE NCHINI KWAKO BOFYA HAPA NA KAMA IKIWA HUPATI KWENYE TELEVISION BOFYA HAPA UJIONEE MWENYEWE SHOW NZIMA YA MISS WORLD 2014

SHOW INTARAJIWA KUANZA 14:30 P.M. GMT, OR 9:30 A.M. ET.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...