Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo, ni mtu ambae nipo focused, ni mtu ambae nina matarajio makubwa, mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo na Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
0 comments:
Post a Comment