2014-12-22

Ni balaa:baada ya Istagram kufuta Akauti Feki, Justin Bieber alijulikana ni mtu Mwenye Followers Wengi Zaidi






Baada ya mtandao wa Instagram kufanya zoezi la kuzifuta akaunti feki Jumatano wiki hii, mwimbaji wa Canada, Justin Bieber alikuwa miongoni mwa mastaa walioathirika kwa kupoteza idadi ya followers milioni 3.5 na kumfanya apoteze sifa ya kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo. 

Kim Kardashian 

ambaye pia licha ya kupoteza followers milioni 1.5 kwenye zoezi hilo, lakini amempiku Bieber na kuwa ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo kwa sasa. 


Kwa sasa Kim Kardashian West ana followers 22,298,938, huku Justin Beiber akibaki na followers 20,336,350.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...